BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump atishia kuiangamiza Iran ndani ya 'usiku mmoja'
Trump amesema anaamini viongozi "wenye busara" nchini Iran walikuwa wakijadiliana kwa "nia njema", lakini matokeo yake yamesalia kuwa yasio na uhakika.
Wanaanga wa Artemis II waandika historia kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
Vitisho vya Trump dhidi ya Iran, tafsiri na athari zake kwenye vita
Trump anaweza kulichukulia hili kama namna ya kuonyesha kwamba bado makali yake yanapata, inaweza kuwa inaongeza hatari ya kuongezeka kwa vita hata kama pengine sio kusudi lake.
Tetesi za soka Ulaya: Liverpool inamtolea macho Camavinga
Liverpool wanamtaka kiungo wa Real Madrid, Camavinga, Juventus wanamuwinda nyota wa Manchester United, huku kiungo wa Manchester City akivivutia vilabu kadhaa barani Ulaya.
Kutoka Suez hadi Hormuz, Marekani haijajifunza kutokana na historia?
Mbinu za kivita zinazotumika sasa na Tehran za kuzuia usafiri kupitia mlango wa bahari wa Hormuz ni sawa na mbinu alizotumia Nasser.
Iran yakataa pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano
Kulingana na shirika la habari la serikali la Iran IRNA, katika jibu lake la vipengele 10 Iran imekataa kusitisha mapigano na kusisitiza umuhimu wa kukomesha vita.
Zijue njia kuu nane za majini ambazo ni muhimu zaidi duniani
Umuhimu wa mifereji na njia hizi haushii tu katika uchumi, kwani pia unaashiria nguvu za kisiasa na kijeshi, kwani vita na migogoro imetokea kutokana na njia hizi.
Wanawake hawakukusudiwa kujifungua wakiwa wamelala chali
"Ukichunguza jinsi uzazi unavyoonyeshwa katika vitabu, televisheni na filamu, utaona haraka jinsi unavyowasilishwa visivyo sahihi'', asema Eileen Hutton, mkunga na msomi katika Chuo Kikuu cha McMaster, Canada.
Vita dhidi ya Iran vinawezaje kubadilisha sera za mataifa ya Kiarabu?
Wataalamu wanaamini, licha ya uwezo wa mataifa ya Ghuba kuvumilia Mashambulizi ya Iran, vita hivi vitaleta mabadiliko ya kimkakati.
Marekani inavyotumia AI katika vita dhidi ya Iran
Katika mahojiano ya kipekee na BBC, Palantir anasema mfumo wa AI Maven ulikuwa na jukumu kubwa kwa jeshi la Merekani katika kubaini maeneo lengwa katika vita dhidi ya Iran. Lakini kuna wasiwasi gani juu ya matumizi ya AI katika vita?
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Kauli 'tata' za Trump na uhalisia wa vita Iran
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushindi kufuatia kuokolewa kwa rubani wa pili wa ndege ya kivita ya F-15 iliyodunguliwa ndani ya Iran, lakini matukio ya hivi karibuni yanaonyesha picha tofauti kuhusu hali halisi ya vita Iran.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Je, tunaelekea katika vita vya tatu vya dunia?
Kuingilia kati kwa Marekani pia kunachochea hali kuwa mbaya zaidi kwani hata nchi zisizohusika moja kwa moja huathirika kiuchumi au kimkakati.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Jinsi mkakati wa vita wa Iran ulivyowashangaza Marekani na Israel
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Safari ya kurejea tena kwenye Mwezi ina umuhimu gani?
Kuanzia kushindana na China hadi uvumbuzi wa mwezi, Marekani inawekeza muda, juhudi na pesa kuelekea Mwezini - na kwingineko.
Bei ya kondomu huenda ikapanda kutokana na vita vya Iran, Marekani na Israel
Sababu kuu ya tatizo hili ni matatizo yanayohusiana na usambazaji kutokana na vita. Uhaba wa makontena ya usafirishaji duniani unachelewesha usafirishaji kwa wateja nje ya nchi.
Pakistan imewezaje kuwa mpatanishi wa vita vya Trump na Iran?
Pia haina kambi za anga za Marekani. Na tofauti na wapatanishi wengi wa Ghuba bado Pakistan haijaingizwa kwenye mzozo huo. Muhimu zaidi, iko tayari kuingilia kati - amani kati ya Marekani na Iran itakuwa na manufaa yake.
Trump anapigana vita kwa kufuata hisia na hazifanyi kazi
Siku kumi na tatu baada ya vita, Trump aliulizwa na Fox News Radio vita vitaisha lini. Alijibu kwamba hakufikiri kwamba vita "vingekuwa virefu". Kuhusu kuimaliza, alisema "nitakapoihisi."
Je, kauli za Trump kuhusu kujiondoa NATO zina maana gani kwa muungano huo?
Trump amewakosoa wanachama wa Nato kwa kuonyesha kutounga mkono malengo ya Marekani nchini Iran.
Je, vita dhidi ya Iran vinamnyima usingizi Kim Jong-un?
Korea Kaskazini kwa hakika ni taifa lenye silaha za nyuklia - na hata Rais wa Marekani Donald Trump alisema mwaka 2025 kwamba nchi hiyo ina "namna fulani ya nguvu za nyuklia" na "ghala kubwa la nyuklia".
Jinsi tishio la Urusi linavyoisukuma Ujerumani kuunda jeshi lenye nguvu zaidi Ulaya
Ujerumani inaamini kwamba juhudi za Urusi za kuimarisha jeshi lake kutaipa nguvu ya kutosha kuweza kushambulia eneo la NATO kufikia mwaka 2029.
Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 7 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 7 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 6 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




























































