Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump sasa kusitisha vita bila sharti la kufunguliwa kwa Mlango -Bahari wa Hormuz
Jarida la Wall Street linaripoti kuwa Trump anafikiria kukomesha mapigano ya sasa, baada ya kile anachodai kudhoofisha jeshi la wanamaji la Iran na hifadhi ya makombora ya taifa hilo.
Kwa nini Afrika inakabiliwa na uhaba wa mafuta licha ya utajiri wa bidhaa hiyo muhimu
Vita vya Iran vimesababisha bei ya mafuta kupanda na changamoto za usafiri wa meli, huku ikifungua njia mpya Tanzania.
Celene Dion atangaza kurudi katika muziki
Nyota huyo, anayejulikana kwa nyimbo kama vile My Heart Will Go On na Because You Loved Me, ataimba kwa siku 10 katika ukumbi wa Paris La Défense Arena.
Jinsi Marekani inavyoweza kujaribu kuteka kisiwa cha Kharg cha Iran
Donald Trump amedokeza kuwa anaweza kutuma wanajeshi kuchukua udhibiti wa kituo kikuu cha kuuza mafuta cha Iran.
Marekani na Israel wamewaua viongozi wengi wa Iran, Je Trump anafanya mazungumzo na nani?
Kuuawa kwa kiongozi mkuu wa Iran,Ayatollah Ali Khamenei kuliwashtuwa wengi, haswa kwasababu ilikuwa siku ya kwanza ya vita baada ya mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid kumsajili kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez
Kiungo wa kati wa Chelsea Enzo Fernandez yumo kwenye orodha ya walioteuliwa na Real Madrid, Juventus wanamtolea macho Manuel Ugarte wa Manchester United, huku Newcastle wakipata msukumo katika jitihada zao za kutaka kumbakisha Sandro Tonali.
Shirika la Ndege Tanzania laendelea kuendeshwa kwa hasara
Amesema shirika hilo limepata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 191 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.
Vita vya Marekani, Israel na Iran vinaonyesha kuwa sheria za kimataifa za vita zimekiukwa
Luis Moreno-Ocampo, mwendesha mashtaka mkuu wa kwanza wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anasema sheria za kimataifa ziliundwa ili kuwalinda raia na kuzuia nchi kuanzisha vita isipokuwa kwa kujilinda au kwa idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Je, kuna uwezekano gani kwa Marekani kuanzisha operesheni ya kijeshi ya ardhini Iran?
Wakati vita kati ya Iran, Marekani na Israel vikiingia siku yake ya thelathini, mkondo wa vita hivyo unashuhudia matukio ya haraka na mwelekeo unaobadilika zaidi
Je, Israel inatambua vipi maeneo ya kushambulia nchini Iran?
Satelaiti hizo huruhusu Israel kufuatilia kwa wakati halisi maeneo ya kurushia makombora ndani ya Tehran, na hivyo kuyaainisha na kuyashambulia kabla Israel haijashambuliwa
"Trump agundua Israel ilimdanganya " - The Independent
Katika gazeti la The Independent, makala ya Robert Fox inaangazia mwenendo wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, yenye kichwa "Hatimaye, Donald Trump ametambua kwamba Israel imemfanyia hila."
Hatima ya kilo 440 za urani iliyorutubishwa ya Iran ni ipi? – Uchambuzi
''Ikiwa Marekani inajua mahali ilipo urani hiyo, kwa nini ichague njia ya kijeshi?'', mwandishi Mark Urban anauliza.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Hatima ya mazungumzo ya Marekani na Iran katika kivuli cha kutoaminiana
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Kwa nini Marekani inalenga kukiteka kisiwa cha Kharg cha Iran?
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Waasi wa Houthi kujiunga vita ya Iran ina maana gani kwa dunia?
Waasi wa Houthi kutoka Yemen ni miongoni mwa washirika wakuu wa Iran katika ukanda wa Mashariki ya Kati, na kwa muda mrefu wamekuwa wakijihusisha na mashambulizi ya hapa na pale dhidi ya Israel tangu vita vya Gaza vilipoanza Oktoba 2023.
Silaha iliyoundwa na Iran inavyobadilisha vita vya anga duniani
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
WARIDI WA BBC: 'Namlea mwanangu anayenitegemea saa 24 bila kupumzika'
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Viongozi wakuu 20 wa Iran waliouawa ndani ya siku 20 za vita
Na ndani ya siku 20 tu za vita, idadi kubwa ya maafisa wa kijeshi, usalama na kisiasa wameuawa katika mashambulizi ya mfululizo ndani na nje ya Iran. Orodha hii inaangalia vigogo wakubwa
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Mzozo wa DRC: Kuuawa kwa Willy Ngoma kunaashiria nini?
Msemaji huyo aliuawa kupitia shambulio la angani lililotekelezwa na FARDC eneo la Rubaya Jumanne usiku, shambulio ambalo liliwaacha viongozi kadhaa wa M23 na majeruhi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 31 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 31 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani