BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran yasema itajilinda dhidi ya vitisho vya Marekani
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran, Waziri wa masuala ya kigeni Abbas Araghchi amesema hali ya sasa ya ukosefu wa usalama katika Mlango wa Hormuz ni matokeo ya moja kwa moja ya kile alichodai kuwa Marekani ilikiuka ahadi zake.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC Karim Khan aondolewa madarakani
Mnamo Juni, chombo cha usimamizi wa mahakama hiyo kilihitimisha kuwa Khan alifanya ukiukaji mkubwa wa majukumu yake na utovu mkubwa wa nidhamu kwa kuhusishwa na uhusiano wa kingono usiofaa na mfanyakazi wa ngazi ya chini wa ICC.
Tetesi za soka Jumamosi: Real Madrid haijakata tamaa kwa Rodri, Arsenal yamwania Álvarez
Real Madrid ina uhakika wa kumsajili Rodri kutoka Manchester City, Arsenal inatazamia kutoa ofa ya mchezaji pamoja na fedha kwa ajili ya mshambuliaji wa Atletico Madrid, Julian Álvarez, huku Roma ikimwania winga wa Fulham, Oscar Bobb.
Fata Morgana: Tukio adimu la taswira inayompotosha kila mtu
Fata Morgana ni aina ya udanganyifu wa macho (mirage) tata na inayobadilika haraka, ambayo hubadilisha sana muonekano wa vitu vilivyo mbali, na kuvifanya vionekane kama maumbo yasiyoeleweka au miundo mirefu iliyopishana.
Makocha 6 waliopoteza kazi baada ya Kombe la Dunia
Baadhi ya nchi kama vile Tunisia waliwatimua makocha wao katika mechi ya kwanza ya michuano hiyo kwa kushindwa kukidhi matarajio.
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Kwa nini wanaume na wanawake wana sauti tofauti?
Ili kuelewa ni kwa nini wanaume na wanawake wana sauti tofauti, tunapaswa kuangalia kwanza injini kuu ya sauti: zoloto au kisanduku cha sauti na mikunjo inayosababisha sauti iliyo ndani yake.
Iran yaanzisha mashambulizi mapya Bahrain, Jordan, Erbil
Iran imetekeleza mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya Kuwait,Bahrain na Jordan huku safari za ndege zikisitishwa kwa muda katika uwanja wa ndege wa Erbil nchini Iraq.
Umuhimu wa mkondo wa Bahari wa Bab el-Mandeb unaotishiwa na Wahouthi ni upi?
Madai hayo yakithibitishwa, shambulio hilo litakuwa la kwanza tangu kundi hilo linaloungwa mkono na Iran litangaze "vikwazo vya usafiri wa majini" dhidi ya Saudi Arabia.
Viumbe wanaoishi maisha marefu na mafupi zaidi
Swali la kwanini kuna tofauti hii ya umri wa kuishi kati ya viumbe, jibu liko katika utenda kazi wa mwili, mazingira, na uzazi.
Saudi Arabia lazima iitambue Israel - Trump
Rais wa Marekani anasema makubaliano muhimu ya kuisaidia Saudi Arabia kuendeleza nishati ya nyuklia yanategemea nchi hiyo kujiunga na Makubaliano ya Abraham.
Tetesi za soka Ijumaa: Manchester United ipo katika harakati za kumsajili Aurélien Tchouaméni
Real Madrid wako tayari kumuuza kiungo wa ulinzi wa Ufaransa Aurélien Tchouaméni.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika
Sawa na maeneo mengine ya duniani, Afrika inaendelea kuwavutia watalii wa kimataifa mwaka wa 2026.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Khalil al-Hayya: Mfahamu kiongozi mpya wa Hamas, mrithi wa Yahya Sinwar
Akiwa mpatanishi mkuu wa Hamas, Hayya alipata umaarufu wa kimataifa kwa kuongoza ujumbe wa kundi hilo katika mazungumzo ya kusitisha mapigano yasiyo ya moja kwa moja na kukutana na wapatanishi nchini Misri na Qatar.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 24 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 24 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































