BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Nchimbi afukuzwa CCM
Uamuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Asha-Rose Migiro, baada ya vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama vilivyofanyika jijini Dar es Salaam chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Lissu: Nina chuki dhidi ya serikali sababu ya uonevu wake
Lissu anaamini kuwa ameonewa, amesema ana chuki dhidi ya serikali sababu ya uonevu wake.
Maswali matano muhimu kujiuzulu kwa Nchimbi
Kujiuzulu kwa Nchimbi kumeibua maswali mengi yasiyo na majibu, BBC tumeangalia maswali matano muhimu yaliyozunguka kujiuzulu kwa Makamu huyo wa Rais wa Tanzania, atakayeondoka ofisini Septemba 4, 2026
Trump: Mojtaba Khamenei hajafariki, amejeruhiwa vibaya
"Kila kitu kinaelekea kwenye ushindi mkubwa sana. Hivi karibuni tutapata ushindi mkubwa Iran," amesema Trump.
Baada ya Hormuz, je ni zamu ya Panama?
Wakati vita vya Iran vikiendelea kuvuruga usafiri wa meli katika Mlango wa Hormuz, mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji baharini duniani, maelfu ya kilomita kutoka hapo, eneo jingine muhimu la kimkakati limekuwa kitovu kipya cha mvutano: Mfereji wa Panama; njia muhimu ya maji inayounganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Pasifiki.
Jinsi Iran ilivyotaka kumuua mmoja wa wanangu – Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema kuwa Iran ilijaribu kumuua mmoja wa wanawe, lakini hakutaja ni lini tukio hilo lilitokea.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Taliban inavyotawala Afghanistan: Uchunguzi wa BBC
Gavana Abdullah Sarhadi anatoa msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu ya mkono uliovunjika wa mvulana na baadaye kutoa fedha kwa msikiti wa eneo hilo. Kisha, katika ofisi yake kaskazini mwa Afghanistan, kunatokea mazungumzo ya kushangaza
Kauli 'tata' zilizomzunguka Nchimbi
Julai 24, 2026, takribani mwaka mmoja baada ya kuingia Ikulu kama Makamu wa Rais, Nchimbi alitoa kauli ambayo ilikuwa tofauti kwa uzito na mazingira yake.
Tetesi za soka Jumatano: Aston Villa wawasilisha ofa kumsajili Mateta
Aston Villa wamewasilisha ofa kwa mshambuliaji wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Ufaransa, Jean-Philippe Mateta.
Rais Samia aridhia Makamu wa Rais Tanzania Nchimbi kujiuzulu
Katika barua yake kwa Rais, Nchimbi amesema ameamua kustaafu siasa na utumishi wa umma.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Timu 5 za kutazama katika Ligi Kuu ya England msimu huu
Arsenal ilitwaa ubingwa wa ligi hiyo mwaka jana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 22, na timu hiyo itakuwa ikilenga kutwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo na kufuata nyayo za Manchester City, ambayo ilitawala mashindano hayo kwa karibu miaka 10 chini ya Pep Guardiola.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Siri Yafichuliwa: Kwa nini Bomu la Nagasaki halikuweza kuzuiwa
Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, bomu la plutonium liliangushwa katika mji wa Nagasaki nchini Japan, na hivyo kuhitimisha Vita vya Pili vya Dunia.
Silaha 9 za teknolojia ya juu zitakazobadili vita vya siku zijazo
Leo uwanja wa vita unaelekea kwa kasi kwenye silaha zisizoonekana, kupitia akili unde, sumakuumeme, na anga ya juu.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Bidhaa 8 zilizobadilisha dunia
Apple inatimiza miaka 50, safari yenye mafanikio makubwa, changamoto na bidhaa zilizobadilisha dunia. Tunaangazia bidhaa zilizoifanya Apple kuwa kampuni tunayoijua leo.
Kazungu: Kada wa CCM azungumza na BBC alivyotekwa na kuteswa
Kazungu alitekwa tarehe 04 Agosti akiwa nyumbani kwake akijiandaa kuoga, ambapo watekaji walimchukua kwa nguvu, kumuingiza katika gari aina ya Land Cruizer na kuzunguka naye kwa masaa mengi, kwa mwendo wa kasi huku akiwa amefungwa kitambaa cheusi usoni na pingu mikononi.
Elon Musk ataka kujenga jiji mwezini, ndoto yake inawezekana?
Hivi karibuni, Elon Musk alitangaza mpango wa kujenga mji kwenye Mwezi; alisema kuwa mpango huo unaweza kutekelezwa ndani ya muda usiozidi muongo mmoja na kwamba mji huo utakuwa na uwezo wa kukua na kuendelea kwa kujitegemea.
Iran na Marekani kuingia awamu mpya ya vita?
Iran na Marekani zimeingia katika hatua mpya ya mvutano, huku makubaliano yakikwama na vita vya kiuchumi vikiongezeka. Nani atalegeza kamba?
Ellen: Binti anayewafuatilia simba 300 wenye vitambulisho Serengeti
Kwa miaka mitatu, mwanasayansi huyo amekuwa akiwafuatilia simba katika Serengeti, akijifunza maisha yao mmoja baada ya mwingine, huku akikabili hatari za kuwa karibu nao.
Mji unaomtengenezea Trump makombora
Mkazi mmoja anasema kuwa katika eneo la Kingsport, Tennessee, lililoko katika ukanda wa milima ya Appalachian, kuna makanisa mengi kiasi kwamba inaonekana kana kwamba kuna kanisa katika kila barabara.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































