BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran: Hakuna hatua iliyopigwa kufufua makubaliano ya muda ya amani na Marekani
Chanzo hicho kimesema hakuna hatua iliyofikiwa katika mazungumzo ya kufufua makubaliano ya muda ya mwezi Juni.
Lissu: Ninaonewa tu, sina hatia, ninatuhumiwa kurusha matangazo
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea leo Alhamisi Agosti 13, 2026, katika Mahakama Kuu Masijala Ndogo Dar es Salaam, Shahidi wa 17 anatoa ushahidi wake
Masharti 6 ambayo Iran inatoa kwa Trump ili kufungua Mlango bahari wa Hormuz
Iran na Oman zasema mazungumzo kuhusu kufunguliwa kwa Mlango wa Hormuz yanaendelea vyema, lakini sasa Tehran imeiwasilisha Marekani orodha ya masharti.
Kwa nini kupatwa kwa jua ulikuwa na umuhimu mkubwa?
Kupatwa kwa Jua hutokea wakati Mwezi unapopita kati ya Dunia na Jua, na hivyo kuzuia baadhi au mwanga wote wa Jua usitufikie.
Wadudu ambao ni tunu ya maarifa iliyofichwa katika ulimwengu wa asili
Kuanzia mende hadi nzi, kuna mengi tunayoweza kujifunza kutokana na mienendo yao kuhusu jinsi ya kufanya maamuzi bora.
Dunia yashuhudia kupatwa kwa Jua
Mamilioni duniani washuhudia kupatwa kabisa kwa Jua! Lakini tukio kubwa lijalo kwa Afrika ni Agosti 2, 2027. Ni nchi zipi zitakuwa kwenye njia ya kupatwa kabisa?
Wanasayansi 5 waliookoa maisha ya mamilioni ya watu kupitia uvumbuzi wao
Mwaka wa 1957, Hilleman alitabiri uwezekano wa kutokea kwa janga la mafua na akatengeneza haraka chanjo mpya, hatua iliyosaidia kupunguza ukali wa mlipuko huo.
Tetesi za Soka Ulaya: Galatasaray yamtaka Martinelli wa Arsenal
Arsenal imepokea ofa kutoka Galatasaray ya kumnunua mshambuliaji Gabriel Martinelli. Arsenal pia iko tayari kusikiliza ofa ya Martin Zubimendi, huku Chelsea ikitajwa kuwa miongoni mwa timu zinazomuwania. Newcastle nayo inaendelea na harakati za kumsajili beki Amar Dedic kutoka Benfica.
Tupac Shakur alikuwa nani na tunajua nini kuhusu mauaji yake?
Karibu miaka 30 baada ya kifo cha Tupac Shakur, maswali yasiyo na majibu kuhusu kupigwa risasi na kuuawa yanaendelea kuvutia umakini wa umma.
Makumi ya spishi mpya za wanyama zagunduliwa nchini Angola
Wataalamu walirekodi makundi 47 ya panzi, nzige na nyenje, ambapo makundi matatu kati yao yalikuwa hayajawahi kujulikana na wanasayansi.
Je, watu wenye mapaja manene wanaweza kuishi muda mrefu zaidi?
Lakini tafiti zimebaini kuwa mafuta kwenye mapaja na makalio yanaweza hata kuilinda miili yetu, kwa sababu seli za mafuta katika maeneo hayo zina uwezo wa kuzuia asidi za mafuta huru ambazo zinaweza kuwa na madhara mwilini.
Dunia kushuhudia kupatwa kwa jua leo
Maeneo fulani duniani yatashuhudia kupatwa kwa jua, iwe ni kwa ukamilifu au kwa sehemu. Hivi ndivyo unavyoweza kuliona tukio hilo?
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Tishio la Iran lashinikiza Trump kufichwa katika lori la chakula
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kuwa Donald Trump alibadilisha ndege kwa siri wakati akiondoka kwenye mkutano wa kilele wa NATO nchini Uturuki mwezi uliopita, kutokana na tishio linalowezekana kutoka Iran
Makombora ya Iran ya Kurushwa Begani: Ni tishio kiasi gani?
Reuters iliripoti, ikinukuu vyanzo visivyotajwa majina, kwamba Iran imetia saini mkataba wa thamani ya dola milioni 60-70 kwa ajili ya kununua mifumo 300-400 ya ulinzi wa anga inayoweza kubebeka na mtu mmoja.
Sekta 7 zinazotarajiwa kuzalisha ajira nyingi zaidi ifikapo 2030
Kwa mujibu wa ripoti ya Future of Jobs 2025 iliyochapishwa na World Economic Forum (WEF) mwezi Januari 2025, dunia inatarajiwa kuunda ajira mpya milioni 170 kati ya mwaka 2025 na 2030.
Viumbe 10 vyenye sura mbaya zaidi duniani
Watu wengi huvutiwa na wanyama wenye sura kama za watoto - fikiria macho makubwa, pua ndogo, nyuso za mviringo. Ni kwa sababu tunawajali watoto wetu.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Vitu 7 vyenye thamani kubwa zaidi kuwahi kupatikana duniani
Linapokuja suala la vitu adimu na vyenye thamani kubwa zaidi, unaweza kushangazwa na bei wanazofikia baadhi ya vitu hivi.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Je, dunia kupoteza nguvu yake ya mvuto kwa sekunde saba?
Je, una mipango gani kwa ajili ya tarehe 12 Agosti, 2026? Ikiwa machapisho fulani ya mitandao ya kijamii yanaaminika, huenda ukahitaji kushikilia kitu kizito ili kuzuia siku yako kuharibika
Barabara 10 hatari zaidi duniani 2026
Funga mkanda na ujiandae kwa safari ya kutisha tunaposafiri katika baadhi ya barabara hatari zaidi duniani.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
Africa Eye: BBC yaoneshwa ushahidi kuwa vikosi maalum vya Afrika Kusini vilimuua mpelelezi mkuu
Frans Mathipa alipigwa risasi na kuuawa akiwa anaendesha gari, tumepata fursa ya kuona ushahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya wanaume wanane wanaotuhumiwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 14 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 13 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 13 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 13 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































