BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Uingereza yaunga mkono mpango wa haki za binadamu unaolenga kuondolewa kwa wahamiaji haramu
Tamko hilo limesainiwa na wanachama wote 46 wa chombo cha kisiasa kinachosimamia mahakama ya haki za binadamu na ambacho ni tofauti kabisa na Umoja wa Ulaya.
Kuanzia kwa makaribisho makubwa hadi mazungumzo magumu: China inataka nini kutoka kwa Trump?
Hii ilikuwa siku muhimu, kwa sababu Donald Trump alikuwa amejinadi kisiasa kwa kuahidi kuchukua hatua kali dhidi ya China.
Nchi gani za kiarabu zina uhusiano wa karibu na Israel?
Israel na Lebanon zimekuwa katika hali ya vita tangu mwaka 1948 wakati Lebanon ilipojiunga na mataifa ya Kiarabu yaliyopinga kuundwa kwa taifa la Israel.
Iraq yaanzisha operesheni ya kukabiliana na vikosi vilivyohusika kuisaidia Marekani na Israel kushambulia Iran
Mzozo umezuka tena nchini Iraq kuhusiana na operesheni za kijeshi ambazo serikali inadai imefanywa na ''vikosi ambavyo havijaidhinishwa.''
Injili Klabuni: Mtindo mpya wa kuwavuta vijana katika injili
Mamia ya vijana walijitokeza jijini Nairobi kuhudhuria hafla ya Misa ya tatu {'Third Service',} hafla inayochanganya muziki wa injili, dansi, ibada na burudani katika mtindo mpya wa kuwafikia vijana kupitia imani na muziki wa kisasa.
Kwa nini Saudi Arabia iliishambulia Iran kwa siri?
Mashambulizi hayo, yaliyofanywa na jeshi la anga la Saudi Arabia, yanakadiriwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Machi.
Je, nyaya za intaneti chini ya bahari silaha mpya ya Iran?
Jaribio lolote la kudhibiti au kutoza ushuru makampuni ya mawasiliano ya kimataifa ya intaneti litakumbana na vikwazo vikubwa vya kiufundi na kisiasa, na linaweza kuizidishia Iran kutengwa kimataifa wakati ambapo uchumi wake tayari unakabiliwa na shinikizo kubwa.
M23, jeshi la Rwanda walifanya mauaji na ubakaji DR Congo - Human Rights Watch
Shirika hilo limesema makumi ya raia waliuawa katika kipindi cha mwezi mmoja ambapo waasi wa M23 walidhibiti mji wa Uvira, mashariki mwa DR Congo.
Nchi 7 duniani ambazo mvua ni 'dhahabu'
Wakati Afrika Mashariki ikikumbwa na mvua kubwa na mafuriko, kuna baadhi ya nchi duniani ambazo kuona mvua ni jambo la nadra sana kutokana na ukame mkali unaodumu karibu mwaka mzima.
Jinsi boti ndogo za kivita Iran zinavyokabiliana na jeshi la wanamaji la Marekani katika mlango wa Hormuz
Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alidai kuwa "ameharibu kabisa" meli za Irani, na kuacha "boti ndogo tu na bunduki."
'Walimpiga risasi jirani yangu kichwani' - jiji la kando ya ziwa lililoathiriwa na vita
Unyongaji na ubakaji ni miongoni mwa ukatili uliofanywa na kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Rwanda wakati wa uvamizi wao wa wiki moja katika mji wa Uvira ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Namna pomboo wanavyotumika vitani dhidi ya adui
Miaka 26 iliyopita, mwezi Machi tarehe 8, 2000, BBC iliripoti kwamba Iran ilinunua pomboo wa "kujitoa muhanga".
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Waridi wa BBC: Mariam na safari ya kufua kusaka $15,000 za kupandikizwa figo
Mariam anasema kwamba mama yake yuko tayari wakati wowote kujitolea figo ili kuokoa maisha yake,lakini hadi sasa hajafanikiwa kupata kiasi cha pesa kinachotakiwa ili kufanikisha upandikizaji huo.
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani





















































