Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Marekani yaingia makubaliano ya afya na Tanzania
Marekani yaingia makubaliano ya afya na Tanzania
Iliyochapishwa
Tanzania na Marekani zimesaini makubaliano mapya ya miaka mitano ya ushirikiano katika sekta ya afya.
Lakini makubaliano haya yanamaanisha nini kwa Tanzania na kwa nini yamezua mjadala katika baadhi ya nchi za Afrika?
Mwandishi wa BBC Elizabeth Kazibure anaelezea.