Bilionea wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki kwa ajali ya ndege
Bilionea wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki kwa ajali ya ndege
Iliyochapishwa
Mfanyabiashara maarufu Wicknell Chivayo ameripotiwa kufariki dunia baada ya helikopta binafsi aliyokuwa akisafiria pamoja na abiria wengine watano kuanguka nchini Zimbabwe Jumatano Septemba 30. Laillah Mohammed ana muelezea kwa undani.