BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Reuters: Oman yawasilisha kwa Iran pendekezo jipya la kusimamia lango la Hormuz
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mazungumzo yanaendelea na kuonya kuwa muafaka usipofikiwa, Marekani "itarejelea mashambulizi" makali zaidi.
Kwa picha: Uharibifu uliosababishwa na tetemeko la ardhi Japan
Idara ya zimamoto ilisema kuwa ghorofa ya pili ya jengo la maduka iliporomoka, "na kuwaacha watu wengi wakiwa wamenaswa ndani."
Kwa nini Austria ilibadilisha mahali alipozaliwa Hitler kuwa kituo cha polisi?
Austria imefungua kituo cha polisi katika nyumba ambayo Adolf Hitler alizaliwa. Jengo hilo liko katika mji wa Braunau am Inn, ulioko kaskazini mwa Austria, ambao una wakazi wapatao 17,000.
Traoré na ndoto ya kuifanya dhahabu kuwa injini ya uchumi wa Burkina Faso
Burkina Faso imepata dhahabu yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 6 kupitia njia rasmi katika nusu ya kwanza ya 2026, huku serikali inayoongozwa na jeshi ikizidisha juhudi za kurasimisha uchimbaji madini
Nauru: Nchi pekee isiyo na timu ya taifa ya mpira wa miguu
Ingawa watu wake hufuatilia mechi kubwa za Ligi Kuu England, na watoto huvaa jezi za Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, lakini majaribio mengi ya kuanzisha timu ya mpira yamwekama.
Kwa nini watu wamepunguza kufanya ngono? Wataalam waeleza
Hali ni mbaya zaidi nchini Japan ambako karibu asilimia 46 ya wanawake na asilimia 25 ya wanaume wenye umri wa kati ya miaka 16 na 25 walisema hawakuwa wakifanya ngono kabisa.
WAFCON 2026: Twiga Stars yaandika historia kwa kuifunga Afrika Kusini
Twiga Stars ilitoa moja ya matokeo ya kushangaza zaidi katika mashindano hayo baada ya kuonyesha mchezo wa nidhamu na ujasiri dhidi ya Banyana Banyana.
Je, vita vya Iran vimemaliza akiba ya Marekani ya makombora ya kuzuia mashambulizi ya anga?
Gazeti la The New York Times liliripoti kuwa maafisa wa Marekani walihofia kuwa mashambulizi mapana zaidi dhidi ya Iran yangeweza kusababisha jibu kali kutoka Tehran, jambo ambalo lingeongeza shinikizo kwa mifumo ya ulinzi wa anga inayolinda kambi za Marekani nchini Jordan, Kuwait, Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Man City yajiandaa kwa ofa ya Rodri kutoka Madrid
Paris St-Germain wanavutiwa na Zion Suzuki wa Parma, kipa wa Japan mwenye umri wa miaka 23 ambaye amehusishwa na Aston Villa na Juventus
Katiba mpya au Katiba ya aina gani? Kauli ya Nchimbi ilivyohamisha mjadala
Kama viongozi wa juu wa nchi wanasema wanaunga mkono katiba mpya, kwa nini wananchi waipambanie? Na ikiwa mchakato utaendelea, je, utazaa katiba ambayo itakubalika kwa makundi mbalimbali ya Watanzania, itakuwa ya maridhiano au itakuwa ya kundi fulani la wanasiasa?
Ukigundua miili 40,000 ilizikiwa chini ya nyumba yako utafanyaje?
Wanahistoria walikuwa wakijua kwa muda mrefu kuhusu uwepo wa makaburi hayo kupitia kumbukumbu za makanisa, lakini eneo lake halisi lilikuwa limepotelea chini ya ardhi wakati jiji lilipokuwa likipanuka.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Kwanini Iran inajihatarisha katika harakati za kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz
Hakuna hata moja kati ya chaguzi zinazowakabili viongozi wa Iran inayotoa njia ya wazi ya kupata ushindi, huku mzozo na Marekani ukiendelea.
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Kwa nini Iran haitaki kuachia udhibiti wa Mlango bahari wa Hormuz?
Mgogoro kati ya Iran na Marekani sasa unaonekana kuzidi suala la kupita kwa meli chache au kutozwa kwa ada za usafirishaji. Iran inataka kudumisha na kuimarisha nafasi iliyoipata wakati wa vita, huku Washington ikitaka kuzuia udhibiti wa Iran juu ya mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji wa nishati duniani.
Nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika
Sawa na maeneo mengine ya duniani, Afrika inaendelea kuwavutia watalii wa kimataifa mwaka wa 2026.
Mlima Kallang uko wapi na kwa nini Trump anautolea vitisho vya kuushambulia?
Katika vitisho vyake vya hivi karibuni dhidi ya Iran, Rais wa Marekani Donald Trump amelitaja eneo ambalo halijulikani sana ikilinganishwa na vituo vingine vya nyuklia, "Koh Kalang," eneo la chini ya ardhi lililo karibu na kituo cha nyuklia cha Natanz.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Khalil al-Hayya: Mfahamu kiongozi mpya wa Hamas, mrithi wa Yahya Sinwar
Akiwa mpatanishi mkuu wa Hamas, Hayya alipata umaarufu wa kimataifa kwa kuongoza ujumbe wa kundi hilo katika mazungumzo ya kusitisha mapigano yasiyo ya moja kwa moja na kukutana na wapatanishi nchini Misri na Qatar.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 29 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































