BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Gachagua apata pigo huku Mahakama Kuu ikitupilia mbali ombi la kupinga kuondolewa kwake madarakani
Akitoa uamuzi huo kwa niaba ya jopo la majaji watatu, Jaji Eric Ogola alishikilia kuwa ushiriki wa kisiasa na maoni ya wabunge peke yake, hakuwezi kuthibitisha kuwa ni upendeleo wa kikatiba.
Netanyahu asema Israel inasitisha mashambulizi dhidi ya Iran 'kwa sasa'
Israel ilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya Iran baada ya Tehran kuanza kurusha makombora kuelekea Israel siku ya Jumapili. Awali Donald Trump aliziambia nchi zote mbili "kusitisha mapigano".
Unajua ukubwa wa dola trilioni moja? Mifano 7 ya utajiri 'wa kufuru' wa Elon Musk
Dola trilioni moja ni sawa na dola bilioni 1,000. Kwa mtu kutumia dola milioni moja kila siku, angehitaji zaidi ya miaka 2,700 kumaliza dola trilioni moja.
'Lazima uwe mwongo, na mjinga,' Trump alisema, akiinuka na kuondoka
Rais wa Marekani Donald Trump alikatiza mahojiano na Idhaa ya NBC baada ya mtangazaji Kristen Welker kumuuliza maswali mara kwa mara kuhusu baadhi ya maoni yake.
Urafiki au kujiimarisha: Kwanini Xi Jinping anazuru Korea Kaskazini?
Beijing inajaribu kurejesha ushawishi wake dhidi ya mshirika muhimu wa kimkakati asiyetabirika.
Simulizi za Waafrika waliotekwa vitani Ukraine
Serikali ya Ukraine imeiambia BBC kuwa kwa sasa kuna karibu wapiganaji 3,000 kutoka Afrika wanaohudumu katika jeshi la Urusi, wengi wao wakidaiwa kudanganywa au kulazimishwa kujiunga na vita kupitia mawakala haramu wa uajiri waliowaahidi kazi nzuri na mishahara mikubwa nchini Urusi.
Kuanzia kuuawa kwa Khamenei hadi tishio la Trump ''kuingamiza Iran": Matukio 10 muhimu ya siku 100 za kwanza za vita
Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga uongozi wa juu wa Iran kuanzia mwanzo na kuenea haraka hadi kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz na nchi za Kiarabu katika eneo la Ghuba, na Lebanon.
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
Iran yasema haina makubaliano rasmi ya kusitisha mapigano na Marekani
Vahid Ahmadi, mjumbe wa Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, amesema kuwa 'Wamarekani hawakufanikiwa kufikia malengo waliyojiwekea katika vita hivyo, sasa wanatushinikiza kiuchumi'.
Kwa nini uhusiano kati ya Iran na UAE unaelekea kuwa mgogoro mkali?
Hata ikiwa kuna matarajio ya amani kati ya Iran na Marekani, Tehran sasa inakabiliwa na hali ya uhasama katika Ghuba ya Uajemi huku vita hivyo vikienea katika eneo hilo.
Je, wanawake huwa na huruma kuliko wanaume?
Mazingira ambayo mtu anakulia na kuishi huchangia viwango vya huruma mtu huyo atakuwa nayo.
Msichana mwenye umri wa miaka 16 alivyokuwa sehemu ya majaribio ya siri ya CIA
Bi. Ponting alikuwa mmoja wa maelfu ya watu waliokuwa huko ambao walifanyiwa majaribio kama sehemu ya utafiti wa siri wa CIA kuhusu udhibiti wa akili.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Moto wafufua mjadala wa CCTV mashuleni, usalama kwanza au faragha?
"CCTV ni shahidi wa kimya, haiwezi kuzuia tukio kutokea, lakini inaweza kusaidia kubaini ukweli baada ya tukio kutokea'', anasema mtaalamu wa faragha ya data Philip Kisaka.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
"Una wazimu" Simu ya mzozo kati ya Trump na Netanyahu yavuruga mazungumzo na Iran
Netanyahu amewahi kubishana na rais wa zamani Bill Clinton kuhusu kutekelezwa kwa makubaliano ya amani ya mwaka wa 1993 ya Oslo peace Accords.
Rare Earth: Je, madini haya yataleta maajabu Tanzania?
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
Tunachojua kuhusu mashambulizi mapya kati ya Marekani na Iran
Mashambulizi haya ya hivi karibuni yanatokea wakati mazungumzo ya kusitisha mapigano yamekwama, baada ya juhudi za kumaliza miezi kadhaa ya mapigano kushindwa kuleta maendeleo yoyote mwishoni mwa wiki.
CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 9 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 8 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 8 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






















































