BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani na Iran zafikia makubaliano ya kumaliza vita
Pakistan ambaye amekuwa msuluhishi wa mgogoro baina ya nchi hizi imesema mkataba rasmi utasainiwa Ijumaa kumaliza vita vilivyodumu kwa karibu miezi minne.
Dirisha la usajili limefunguliwa rasmi EPL, klabu yako inahitaji nini kuongeza nguvu?
Licha ya tofauti ya kuanza, ligi zote kuu za Ulaya zitafunga dirisha la usajili kwa pamoja siku moja, ambayo ni Jumanne, tarehe 1 Septemba 2026. Baada ya tarehe hiyo, vilabu havitaruhusiwa tena kusajili wachezaji isipokuwa kwa masharti maalum ya sheria za ligi husika.
Moshi unaoua kimya kimya
Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa watu milioni 2.9 hufariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayohusishwa na uchafuzi wa hewa majumbani unaosababishwa na matumizi ya nishati zisizo safi kama kuni na mkaa.
Yote unayohitaji kufahamu kuhusu makubaliano ya Iran na Marekani
"Makampuni ya usafirishaji wa baharini yanatarajiwa kusubiri kuona ikiwa makubaliano hayo yatadumu kabla ya kurejesha shughuli zake kikamilifu'', anasema mtaalam wa masuala ya uchumi Jonathan Josephs
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal na Liverpool vitani kwa Bouaddi
Arsenal na Liverpool wanavutiwa kumsajili kiungo wa Lille, Ayyoub Bouaddi, huku Manchester City wakipanga kumchukua beki wa Everton Jarrad Branthwaite.
Video, Tazama: Jinsi makomando wa Uingereza walivyoikamata meli ya mafuta ya Urusi, Muda 0,44
Vikosi vya Uingereza viliingia meli ya mafuta ya Urusi inayohusishwa na mtandao wa meli za kivuli katika Mfereji wa Kiingereza.
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Mauaji, mateso na ukatili: Tawala tano zilizoacha historia ya umwagaji damu Afrika
Walipoingia madarakani, wengi wao walitawala kwa mkono wa chuma, wakitekeleza sera za ukandamizaji zilizojumuisha mauaji ya kisiasa, kunyongwa au kuuawa kwa umma, vifungo vya kiholela na matumizi ya mateso katika vituo vya mahabusu.
'Tusiharibu mambo': Trump asema mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut “hayakupaswa kutokea”
Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump amekashifu makabiliano hayo yaliyotokea katika kipindi nyeti ambapo Marekani iko karibu kufikia makubaliano ya amani na Iran.
Morocco yajiondoa kuwania uenyeji wa mashindano yoyote ya Afrika
Rais wa Royal Moroccan Football Federation, Fouzi Lekjaa, amesema kuwa azma ya Morocco ya kuandaa mashindano katika siku zijazo itajikita kwenye michuano ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia na Kombe la Dunia la Klabu, badala ya mashindano ya bara la Afrika.
Ni wimbo gani wa kombe la Dunia uliokuwa maarufu zaidi?
Nyimbo za Kombe la Dunia zinaweza kuwa mojawapo ya nguzo rasmi za mchuano huo, na ndizo njia za kusisimua zaidi za kuleta shauku ya umma kabla ya kuanza kwa toleo lolote la shindano.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ifahamu droni ya baharini iliyotumiwa na Marekani kuwaokoa wanajeshi wake
Hiki ni kisa cha kwanza kinachojulikana ambapo chombo kisicho na rubani kimetumika kutekeleza kazi ya uokoaji.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Mythos ni nini na kwa nini inaonekana kuwa tishio kubwa kuliko Mlango bahari wa Hormuz?
"Tunajua Mlango Bahari wa Hormuz ulipo na ukubwa wa tishio lake, lakini bado hatuelewi kikamilifu hatari tunayokabiliwa nayo kutoka Mythos'', anasema Waziri wa fedha wa Canada.
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
Je, wanawake huwa na huruma kuliko wanaume?
Mazingira ambayo mtu anakulia na kuishi huchangia viwango vya huruma mtu huyo atakuwa nayo.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Tikiti maji lina nguvu sawa na Viagra - Utafiti
Tikiti maji lina kemikali inayoitwa citrulline, ambayo ina sifa zinazofanana na Viagra. Sifa gani hizo?
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 15 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 15 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 12 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































