Maandamano ya Saba saba Kenya: Watu 10 wauwa na wengine 29 kujeruhiwa- Shirika la haki za binadamu Kenya
Barabara kuu za jiji la Nairobi na mitaa imefungwa siku nzima huku idadi kubwa ya polisi wakionekana kukabiliana na waandamanaji na kushika doria katika maeneo mbali mbali ya nchi.
Muhtasari
- Maandamano ya Saba saba Kenya: Watu 10 wauwa na wengine 29 wamejeruhiwa - Shirika la haki za binadamu Kenya
- Waziri wa Uchukuzi wa Urusi Roman Starovoit, ambaye aliondolewa kwenye wadhifa wake, amepatikana akiwa amefariki
- Waziri wa polisi wa Afrika Kusini ashutumiwa kwa uhusiano na magenge ya uhalifu
- Maandamano ya saba saba Kenya: Raila ashindwa kufika katika uwanja alikotarajia kuuhutubia Umma
- Tazama: Video ya droni inayoonyesha athari za mafuriko Texas yaliyowauwa watu 81
- Maandamano ya saba saba Kenya: Vurugu zatawala eneo analotarajia kufanya mkutano Raila
- Uchunguzi wa mauaji waanza baada ya kifo cha mwanasayansi mwenye asili ya Afrika
- Maandamano Kenya: Mamia wakosa nauli ya ziada kuweza kuingia jijini
- Maandamano Kenya: Milipuko ya mabomu ya kutoa machozi yasikika Nairobi huku wanaandamanaji waking'ang'ana kuingia jijini
- Mbunge wa Nairobi asitisha mswada wenye utata wa Maandamano
- Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen
- Fahamu historia ya Maandamano ya Saba Saba Kenya
- Maandamano ya Saba Saba Kenya: Polisi wakanusha madai ya kufungwa kwa eneo la katikati ya jiji
- Maandamano Kenya: Polisi waonya waandamanaji dhidi ya kuingia maeneo yaliyopigwa marufuku
- Maandamano Kenya: Barabara kuu zote za kuingia Nairobi zafungwa
- Serikali Kenya yaonya waandamanaji watakaofanya vurugu
- Takriban watu 78 wamefariki dunia na wengine kutojulikana walipo katika mafuriko ya Texas
- Madai ya Saba Saba hayajatimizwa Kenya, asema Raila
