Fahamu maisha ya siasa ya Kansela wa Ujerumani anayeondoka madarakani Bi Angela Merkel katika picha

Septemba 23, 2021: Muhula wa Merkel ulitawaliwa na mafanikio na mapungufu lakini atakumbukwa kwa mtindo bora wa utawala wake

Chanzo cha picha, DPA / ALAMY

Maelezo ya picha, Septemba 23, 2021: Muhula wa Merkel ulitawaliwa na mafanikio na mapungufu lakini atakumbukwa kwa mtindo bora wa utawala wake kukabiliana na masuala magumu

Bi Angela Merkel anajiuzulu kama kiongozi wa ujerumani baada baada ya miaka 16, na kumaliza kazi yake kama mwanasiasa. Ujuzi alionao unanyeshwa katika picha katika pembe zote: Kuanzia ziara yake kwa mvuvi katika kampeni zake za mwanzo, hadi katika mazungumzo ya White House, na matukio mengine yaliyotokea katika nyakati tofauti.

Hizi ni baadhi ya picha zilizokusanywa katika maelfu ya picha alizopigwa mwanamke huyu ambaye amekuwa katika ya siasa za Ujerumani kwa miaka mingi:

Mwaka 1989: Bi Merkel (kulia ) alipiga picha na Malgorzata Jeziorska na mumewe ajaye Joachim Sauer katika chuo kikuu cha Poland

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mwaka 1989: Bi Merkel (kulia) alipiga picha na Malgorzata Jeziorska na mumewe ajaye Joachim Sauer katika chuo kikuu cha Poland
Novemba 1990: Mwaka uliofuata, alifanya kampeni ya uchaguzi wa shirikisho la Ujerumani tangu nchi hiyo ilipokuwa katika mpito

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Novemba 1990: Mwaka uliofuata, alifanya kampeni ya uchaguzi wa shirikisho la Ujerumani tangu nchi hiyo ilipokuwa katika mpito
Januari 1994: Bi Merkel aliteuliwa kuwa Waziri wa mazingira-akionyesha umma jinsi ya kutengeneza bidhaa kutokana na karatasi

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Januari 1994: Bi Merkel aliteuliwa kuwa Waziri wa mazingira-akionyesha umma jinsi ya kutengeneza bidhaa kutokana na karatasi
Machi 1995: Bi Merkel akicheka na waziri Horst Seehofer wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Machi 1995: Bi Merkel akicheka na waziri Horst Seehofer wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri
Machi 2000: Bi Merkel alichaguliwa kama kiongozi wa chama cha mrengo wa kati0kulia cha Christian Democrats (CDU) mwaka 2000.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Machi 2000: Bi Merkel alichaguliwa kama kiongozi wa chama cha mrengo wa kati0kulia cha Christian Democrats (CDU) mwaka 2000.
Julai 2005: Miaka mitano baadaye, alirejea katika uwanja wa kampeni - iliyomuwezesha kuwa Kansela wa kwanza mwanamke wa Ujerumani

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Julai 2005: Miaka mitano baadaye, alirejea katika uwanja wa kampeni - iliyomuwezesha kuwa Kansela wa kwanza mwanamke wa Ujerumani
Juni2007: Katika karne ya 21, siasa bado zinatawaliwa na wanaume, kwahiyo Bi Merkel - alipigwa picha hapa na Waziri mkuu wa Italia Romano Prodi, Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, Rais wa Marekani George W Bush, Rais wa Urusi Russian Vladimir Putin na Waziri mkuu wa Uingereza Tony Blair - Mara kwa mara alikuwa ndiye mwanamke pekee miongoni mwa wanaume

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Juni2007: Katika karne ya 21, siasa bado zinatawaliwa na wanaume, kwahiyo Bi Merkel - alipigwa picha hapa na Waziri mkuu wa Italia Romano Prodi, Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, Rais wa Marekani George W Bush, Rais wa Urusi Russian Vladimir Putin na Waziri mkuu wa Uingereza Tony Blair - Mara kwa mara alikuwa ndiye mwanamke pekee miongoni mwa wanaume
Aprili 2009: Bi Merkel alikuwa ishara ya usalama wa uchumi

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Aprili 2009: Bi Merkel alikuwa ishara ya usalama wa uchumi
Aprili 2011: Hillary Clinton, waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani aikiwa na Bi Merkel mjini Berlin

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Aprili 2011: Hillary Clinton, waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani aikiwa na Bi Merkel mjini Berlin
Juni 2015: Bi Merkel akiwa pamoja na Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama baada ya kikao cha G7 kusini mwa Ujerumani "Umekuwa rafiki wa kuaminika katika wakati wote wa urais wangu - zaidi ya kiongozi mwingine yeyote duniani ," Rais wa Obama alimwambia Merkel mwaka mmoja baadaye

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Juni 2015: Bi Merkel akiwa pamoja na Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama baada ya kikao cha G7 kusini mwa Ujerumani "Umekuwa rafiki wa kuaminika katika wakati wote wa urais wangu - zaidi ya kiongozi mwingine yeyote duniani ," Rais wa Obama alimwambia Merkel mwaka mmoja baadaye
Septemba 2015: Uamuzi wa Kansela wa kufungua mipaka kwa ajili ya wakimbizi mwaka 2015 uliligawanya taifa lake. Katika picha: Wakimbizi wakiingia Ujerumani kupitia Hungary

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Septemba 2015: Uamuzi wa Kansela wa kufungua mipaka kwa ajili ya wakimbizi mwaka 2015 uliligawanya taifa lake. Katika picha: Wakimbizi wakiingia Ujerumani kupitia Hungary
Aprili 2018: Alizozana na Rais wa Marekani Donald Trump

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Aprili 2018: Alilumbana na Rais wa Marekani Donald Trump
2020/21: Kufuatia na kusambaa kwa virusi vya corona dunaini, Bi Merkel amesifiwa kwa kudhibiti ugonjwa' baadhi ya watu wanasema ujuzi wake wa sayansi umesaidia
Maelezo ya picha, 2020/21: Kufuatia na kusambaa kwa virusi vya corona dunaini, Bi Merkel amesifiwa kwa kudhibiti ugonjwa' baadhi ya watu wanasema ujuzi wake wa sayansi umesaidia

Picha zote kwa hisani ya AFP na Getty Images