Je unamfahamu ndege mwenye sauti kali kuliko wote duniani?

Maelezo ya video, Je unamfahamu ndege mwenye sauti kali kuliko wote duniani?
Iliyochapishwa

Je unamfahamu ndege mwenye sauti kali kuliko wote duniani, kulingana na wanasayansi.

Ndege huyo wa White BellBird ana mlio wake mkali mno ni sawa na mlio wa ndege ya kusafiria unavyonguruma inapoanza safari.

Tazama hii