Maelfu ya watu wametekwa Nigeria, mamilioni ya dola yametolewa kama kikombozi.
Iliyochapishwa
Taasisi ya kiintelijensia IRT ilikuwa na kazi mahususi ya kupambana na vitendo vya utekaji na unyang’anyi wa kutumia silaha. Je, Kikosi hiki ni dawa itakayomaliza vitendo hivi?