Kevin Oduor Wesonga: Mchongaji sanamu maarufu anayetumia mkono mmoja Kenya
Iliyochapishwa
Mchongaji mwenye mkono mmoja ambaye ndiye aliyechonga sanamu ya Dedan Kimathi iliopo katikati ya jiji la Nairobi nchini Kenya ili kujipatia kipato.
Ripoti: Judy Wambare
Video: Judith Wambare