CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?

Maelezo ya video, CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Iliyochapishwa

Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?