Marekani yamuwekea vikwazo Faustine Mafwele

Maelezo ya video, Marekani yamuwekea vikwazo Faustine Mafwele
Marekani yamuwekea vikwazo Faustine Mafwele
Iliyochapishwa

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi nchini Tanzania, Faustine Jackson Mafwele kuingia nchini Marekani.

Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio imesema kwa kuzingatia taarifa zinazoaminika, Mafwele alihusika katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Mwandishi wa BBC Frank Mavura na taarifa zaidi