Nisingeambiwa 'nakupenda' ningekuwa na jicho langu
Nisingeambiwa 'nakupenda' ningekuwa na jicho langu
Iliyochapishwa
"Kama ningejua naolewa na huyu mtu na anikate jicho na mkono hivi? nisingeolewa"
Rosana Kathure anasimulia hadithi yake katika Waridi wa BBC baada ya kupitia unyanyasaji na mateso katika ndoa yake hadi kufikia kupoteza jicho lake na kupata ulemavu wa mkono.
Amezungumza na Asha juma katika Waridi wa BBC.
Kutazama kwa urefu simulizi hii tembelea YouTube ya BBCSwahili



